tag:blogger.com,1999:blog-7069986529502726393.post2092720654812390700..comments2023-10-12T04:44:13.517-07:00Comments on Marafiki wa chadema - Friends of Chadema: Slaa: Matokeo yataishangaza duniaMARAFIKI WA CHADEMAhttp://www.blogger.com/profile/07980240989912683255noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7069986529502726393.post-73283823846429332010-08-30T05:20:56.213-07:002010-08-30T05:20:56.213-07:00Hii ni kweli kabisa, tunachoomba ni kuona vyombo v...Hii ni kweli kabisa, tunachoomba ni kuona vyombo vya habari, taasisi za serikali, waangalizi wauchaguzi wa ndani na nje ya nchi wanafanya kazi zao inavyostahili na kwa uaminifu. Hatutakubaliana kabisa na wizi wa kula kwa namna yoyote ile. Na hii tuomba liwe angalizo kwa serikali na chama kilicho madarakani, kuhakikisha hawavitumii kwa namna yoyote ile na kwa maslahi yoyote yale. Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki chama kinachopigania haki na ustawi wa jamii yetu Watanzania.Mabblehttp://www.blogger.com/profile/03195078790282450965noreply@blogger.com