tag:blogger.com,1999:blog-7069986529502726393.post5245805133490539904..comments2023-10-12T04:44:13.517-07:00Comments on Marafiki wa chadema - Friends of Chadema: CHAGUA CHADEMA CHAGUA HALIMA MDEEMARAFIKI WA CHADEMAhttp://www.blogger.com/profile/07980240989912683255noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7069986529502726393.post-50005829973477712302010-09-29T02:02:44.282-07:002010-09-29T02:02:44.282-07:00Dada Halima sote tunakukubari,wewe ni taswira ya m...Dada Halima sote tunakukubari,wewe ni taswira ya mwanamke halisi ,mtetezi,mwenye msimamo,asiyeyumbishwa.Ulipaswa kupita bila kupingwa.Utapita tu ,dont worry.Kwa umri wako endeleza harakati utafika mbari sana kisiasa na utakomboa sio tu wanawake bali taifa kwa ujumla.Usikubali vishawishi vya njoo CCM mambo yakunyokee,angalia Warid Kabouru alivyojizika kisiasa na CCM yake,najua huna njaa/huendekezi njaa na utabaki CHADEMA.Anonymousnoreply@blogger.com