Thursday, August 26, 2010

Dr. Slaa Ndiye Mgombea Urais Kwa Tiketi Ya CHADEMA

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemtangaza Dr Wilbroad Slaa (katikati) kuwania kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarjiwa kufanya mwishoni mwa mwezi Octoba.

0 comments:

Post a Comment