Tuesday, October 12, 2010

DR WP SLAA ALIPOKUWA SUMBAWANGA

Mgombea urais wa Tanazaia kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda, katika mkutanoa wake wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akishukla kutoka kwatika jukwaa, mara baada ya kuhutubia mkutanow a hadhara wa kampeni zake, katikam mji wa Namanyere katyika jimbo la Nkasi Kaskazini
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demnokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, na mgombea ubunge wa jimbo la Mpanda Mjini kupitia Chama hicho, Said Alfi, wakipunga mikono mara baada ya kwausili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili

Baadhi wa wananchi wa Mpanda, wakimsikiliza kwa makini mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maemdeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili(Matukio yote haya na mpigapicha mkuu wa gazeti Pendwa nchini la Tanzania Daima Bw Joseph Senga)

0 comments:

Post a Comment