Saturday, October 2, 2010

Mgombea Ubunge Iringa Mjini


Mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) pichani ameeleza kuchoshwa na vitendo vya rushwa vinavyoendelea ndani ya jimbo la Iringa mjini na kuwa kwa upande wake ameamua kuisaidia taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (Takukuru) ili kuwakamata wale wote wanaotoa rushwa mitani

0 comments:

Post a Comment