Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kampeni ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Prof. Mwesiga Baregu (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatma ya chama hicho juu ya uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kutupilia mbali malalamiko ya chama hicho dhidi ya mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete. Kushoto ni mwanachama, Mabere Marando na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Baraza la Vijana wa Chama hicho (BAVICHA), John Mnyika. (Picha na Fadhili Akida).
0 comments:
Post a Comment