Mgombea Ubunge kupitia CHADEMA Jimbo la Mbeya-Mjini Joseph Mbilinyi "SUGU" anaomba mchango wako wa hali na mali kwa ajili ya kuendeleza libeneke la kampeni kwenye vitongoji mbali mbali vya Mbeya Mjini ili akamilishe mbio zake za kulitwaa jimbo hilo.Cha muhimu sio lazima uende Benki unaweza pia kumchangia kwa kupunguza salio kwenda kwenye namba zifuatazo 0758 533339,0787 533339,0654 53339 au 0774 033339.Pia ukiweza tuma kwenye akaunti ya M-PESA kwenda 0758 533339 au TIGO-PESA 0654 533339 au tembemlea blog yake www.suguformbeya.blogspot.com
WE HAVE MOVED TO/TUMEHAMIA WWW.UDADISI.COM
3 years ago
0 comments:
Post a Comment