![Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wakazi wa Babati Mjini mkoani Manyara katika mkutano wa kampeni jana. (Na Mpiga Picha Wetu).](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_s83_7-OcIcrif5dU0MiCbMvGb2ZsLk-H26zRc_3yPLqVC2i1aiC5GHOX4uyEkDZh2IRMvWjwBvJ8ysIkdXh-gewAaiFYg2rXWw9QAq4YkSjSsklA=s0-d)
Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wakazi wa Babati Mjini mkoani Manyara katika mkutano wa kampeni . (Na Mpiga Picha Wetu).
![Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Dkt.Wilbrod Slaa, akizungumza na wakazi wa Dar es Salaam waliofika katika viwanja vya Jangwani kumsikiliza. (Picha na Yusuf Badi)](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vCyeij86EaY2Mycfxqh-JmaD2edh9IfHvUwAURFivC2Oum0Wpttl8muFVe1pOlCjVbINoCzZi7UFNSFkXYBwnLkdkZwHCwDcikmTs2UwSWyNL3=s0-d)
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Dkt.Wilbrod Slaa, akizungumza na wakazi wa Dar es Salaam (Picha na Yusuf Badi)
0 comments:
Post a Comment