Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh.Zitto Kabwe akisisitiza jambo wakati alipokuwa akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini,Bw.Ally Khalfa Mleh wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho mjini humo katika uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh.Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi wa Kigoma Mjini wakati wa uzinduzi wa kampeni wa chama hicho mjini humo katika uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.
Wanachadema kabla ya uzinduzi rasmi wa kambeni yao ndani ya Kigoma Mjini kwenye uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.
Wagombea Udiwani wa chama cha CHADEMA katika picha ya pamoja mjini Kigoma wakati wa kutambulishwa rasmi kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho kwenye uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.
Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia chama cha CHADEMA akiwasili na mgombea mwingine wa chama chake kupitia jimbo la Kigoma mjini,Bw.Ally Khalfa Mleh kwenye uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.
Baadhi ya watu wakiwemo wanachama wa chama CHADEMA waliojitokeza uwanja hapo kusikiliza mchakato mzima wa sera za chama hicho .
Pichani ni uzinduzi rasmi wa kampeni ya chama cha CHADEMA ndani ya Kigoma Mjini kupitia mgombea wa kiti cha Ubunge,Bw.Ally Khalfa Mleh kwenye uwanja wa Community Center,Mwanga,Kigoma mjini mapema jana.
0 comments:
Post a Comment