Thursday, September 9, 2010

Buzwagi wamsubiri Dr. Slaa kwa hamu

Buzwagi machimbo ambayo yalichangia kuipa chati na Zitto Kabwe ujiko wa pekee katika siasa za Tanzania vinadokeza kuwa wananchi wa huko wanasubiri kwa hamu kumsikia Dr. Slaa atakapopita huko na ujumbe wa mabadiliko ya taifa...

Wanakijiji wanasubiri kwa hamu kuweza kuonesha hasira "yao"... sijui manake nini..

0 comments:

Post a Comment