Sunday, October 3, 2010

DR W P SLAA KATIKA KAMPENI IRINGA








Iringa ni ngome ya CCM. Jana jioni Dr Slaa alitua Iringa na kuvuta umati wa watu. Nilikuwapo pale Viwanja vya Mwembe Togwa. Nini aliongea na kina nini ndani yake, nitachambua. Picha ya kwanza juu ni ya Francis Godwin wa Iringamatukio.

0 comments:

Post a Comment