Monday, October 4, 2010

MDAHALO WA WAGOMBEA UBUNGE JIMBOLA IRINGA MJINI,WAGOMBEA WAKWEPA WAMWACHA WA CHADEMA PEKEE


Mshiriki pekee wa mdahalo wa wagombea ubunge jimbo la Iringa mjini ,mgombea ubunge kupitia chadema mchungaji Peter Msigwa akijibu maswali ya washiriki wa mdahalo unaoen delea katia chuo huria cha Tanzania,hatahivo wagombea wengine waliopaswa kufika katika mdahalo huo ni pamoja naa mgombea wa umoja wa vyama 14 vya upinzani Bi.Mariam Mwakingwe (NCCR-Mageuzi)na mgombea wa CCM Bi.Monica Mbega
mratibu wa mdahalo huu Ngalemwa
washiriki wakimsikiliza kwa makini

0 comments:

Post a Comment