Monday, October 4, 2010

MDAHALO WA WAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA IRINGA MJINI ,MGOMBEA CHADEMA ABEBWA JUU JUU(TAZAMA VIDEO)

Washiriki wa mdahalo wa wagombea ubunge jimbo la Iringa mjini wakitoka katika ukumbi wa mdahalo huo chuo kikuu huria cha Tanzania eneo la Gangilonga huku wakiwa wamembeba juu juu mgombea pekee wa ubunge aliyeshiriki mdahalo huo mchungaji Peter Saimon Msigwa (Chadema),mdahalo huo ulioandaliwa na asasi za kiraia umeonyesha kupwaya baada ya wagombea wawili waliotegemewa kutoka CCM na umoja wa vyama 14 vilivyosimamisha mgombea mmoja kushidwa kufika kwa taarifa
waendeshaji wa mdahalo huo
Mtangazaji wa kituo cha redio Country Fm (88.5 ) Zamoyon Ngede akijiweka sawa kwa ajili ya kurusha moja kwa moja (Live) mdahalo huu leo asubuhi ,kituo hicho na blog hii ni vyombo pekee vya habari vilivyoweza kuwaunganisha watanzania na wale waliopo nje ya tanzania kushiriki mdahalo huu wa kipekee ndani ya mkoa wa Iringa .hapa chini ni mdahalo Live kupitia video

, video video video video video video video video video

0 comments:

Post a Comment