Monday, September 27, 2010

CHANGIA Nassari Joshua Samwel CHAGUA CHADEMA UBUNGO Arumeru Mashariki

Kampeni za CHADEMA Arumeru Mashariki

Mgombea Ubunge jimbo la Arumeru mashariki kwa tiketi ya chama cha CHADEMA,Bw.Nassari Joshua Samwel akiwahutubia wakazi wa Arumeru Mashariki mwishoni mwa wiki.

Mikutano ya kampeni ya Mgombea Ubunge Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA Bw Nassari Joshua,ambaye ni msomi wa Sosholojia toka Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam. Amekuwa mstari wa mbele kutetea haki na maslahi ya vijana kwa muda mrefu,alipokuwa chuoni aliwahi kuwa Spika wa serikali ya wanafunzi na kusimamia maslahi ya wanafunzi hususan wanaotoka katika familia zenye hali duni.Picha kwa hisani ya Mdau.

0 comments:

Post a Comment