Monday, September 20, 2010

DR SLAA ALIVYOTINGISHA ARUSHA

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maelendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akihutubia moja ya mikutano minne ya hadhara ya kampeni jijini Arusha jana.
Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mzee Edwin Mtei, akiwahutubia wakazi wa jiji la Arusha na vitongoji vyake, katika moja ya mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea wa urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, jana
Sehemu ya maelfu ya wakazi wa mji wa Arusha, wakimpungia mikono mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika jana jijini humo.Picha kwa hisani ya Joseph Senga.

0 comments:

Post a Comment