Friday, September 24, 2010

MAMBO YA KAMPENI 2010

Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kampeni ya Chama cha Demokrasia na  Maendeleo (CHADEMA), Prof. Mwesiga Baregu (katikati) akisisitiza jambo  wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatma  ya chama hicho juu ya uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kutupilia  mbali malalamiko ya chama hicho dhidi ya mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete.  Kushoto ni mwanachama, Mabere Marando na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa  ya Baraza la Vijana wa Chama hicho (BAVICHA), John Mnyika. (Picha na  Fadhili Akida). Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kampeni ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Prof. Mwesiga Baregu (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatma ya chama hicho juu ya uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kutupilia mbali malalamiko ya chama hicho dhidi ya mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete. Kushoto ni mwanachama, Mabere Marando na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Baraza la Vijana wa Chama hicho (BAVICHA), John Mnyika. (Picha na Fadhili Akida).

0 comments:

Post a Comment