Monday, September 20, 2010

Mgombea ubunge jimbo la kibaha mjini.

Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,kwa chama cha CHADEMA,Mh Zitto Kabwe jana alianza rasmi mzunguko wa nchi nzima kuwasaidia wagombea Ubunge na Udiwani wa CHADEMA katika majimbo na Kata zao.Jana alikuwa mjini Kibaha akimnadi mgombea Ubunge kwa jimbo hilo la Kibaha Mjini ,Bw.Habibu Mchange.

Jimbo: KIBAHA MJINI

Tarehe: 18-09-2010

Mgombea: HABIBU MCHANGE


Nikimnadi mgombea wetu wa ubunge Kibaha Mjini-HABIBU MCHANGE

Wananchi walijitokeza


Nikimnadi mgombea udiwani Kata ya Kibaha-Patrick Kinunda


0 comments:

Post a Comment