Saturday, September 25, 2010

WATANZANIA WANAVYOMUUNGA MKONO DR SLAAUkichanganya "nyomi" kama hilo la kampeni za Dokta Slaa mjini Moshi na matokeo "yaliyominywa" ya Synovate,ni dhahiri Kikwete na mafisadi wako tumbo joto na sasa wanahangaika namna ya kuchakachua matokeo ya Uchaguzi Mkuu ujao.Washindwe na walegee.HATUDANGANYIKI!

0 comments:

Post a Comment