Tuesday, September 21, 2010

Maelfu Wamiminika Kampeni za DR Slaa na CHADEMA

Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali na vifaa mbalimbali, ikiwa ni ishara ya kumpokea mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, alipowasili kwenye Uwanja wa Sabasaba m
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali na vifaa mbalimbali, ikiwa ni ishara ya kumpokea mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, alipowasili kwenye Uwanja wa Sabasaba

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Tarime, katika mkutano wa kampeni, kwenye Uwanja wa Sabasaba jana
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Tarime, katika mkutano wa kampeni, kwenye Uwanja wa Sabasaba





0 comments:

Post a Comment