Monday, August 30, 2010

Dkt Wilboard Slaa Akizungumza na Omar Kwaangw'


Mbunge wa Jimbo la Karatu (CHADEMA) Dkt Wilboard Slaa akizungumza nje ya Ukumbi wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini(CCM) Omar Kwaangw' juzi jioni mara baad ya kikao cha 11 cha mkutano wa 18 unaoendelea mjini Dodoma kumalizika.Picha na mdau Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma

0 comments:

Post a Comment