Friday, August 20, 2010

DR SLAA ON FACEBOOK

Tunapoanza safari ya kuelekea ushindi Oktoba 31, 2010 tunahitaji watu wote wenye mapenzi mema na uzalendo wa kweli kuwa upande wetu. Kuwa rafiki wa kampeni yangu, waalike wengine na wengine wawaalike wengine.


Twende tukalete Ushindi na Mabadiliko!!

MFUATILIA DRSLAA KWENYE FACEBOOK

0 comments:

Post a Comment