Thursday, September 2, 2010

kampeni jimbo la arusha zapamba moto

Mgombea Ubunge jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Godbless Lema akihutubia wananchi wa kata ya Kijenge katika mkutano wa hadhara
Mgombea wa ubunge wa jimbo la Monduli kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji Amani Silanga Mollel akisalimia wananchi wa kata ya kijenge katika mkutano huo wa hadhara.
Picha zote na Woinde Shizza

0 comments:

Post a Comment