Monday, September 6, 2010

Baraza la Ushauri wa Vyama vya Siasa nchini lavitaka vyombo vya habari nchini kutokuwa wakereketwa wa vyama vya siasa

Msajili wa Vyama vya Vyama Siasa John Tendwa (kushoto) akitoa tamko juu ya maazimio mbalimbali ya Baraza la Ushauri wa Vyama vya Siasa nchini ikiemo kutovitaka vyombo vya habari nchini kutokuwa wakereketwa wa vyama vya siasa. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la vyama vya Siasa Juma Ali Khatibu.
Wajumbe wa Baraza la Ushauri wa Vyama vya Siasa nchini wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam . Mkutano huo ulikuwa ukiwaeleza waandishi wa habari juu ya maazimio mbalimbali yaliyofikiwa wakati wa mkutano wa Baraza.

0 comments:

Post a Comment