Friday, September 10, 2010

Tamko la Dr. Slaa kuhusu CCM kusitisha midahalo TBCMgombea wa urais wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dr. Wilibrod Slaa amesema; Uamuzi wa CCM kukataza wagombea wake kushiriki midahalo ya kisiasa ni aibu kwa mwelekeo wa demokrasia nchini. Kiongozi anayetaka nafasi ya kisiasa anayekwepa nafasi ya kuzungumza na wananchi anaotaka kuwaongoza na anataka kuwahubiria tu ni mwoga na hafai kuwa kiongozi wao. Chadema tuko tayari wakati wowote na mahali popote kujadiliana na mtu yeyote wa chama chochote.


Dr. Wilbrod Slaa 2010

0 comments:

Post a Comment