Tuesday, September 7, 2010

Zitto na Democrsia

Kusimikwa na Wazee wakimila kuwa Mwami(Chifu) wa Waha

Mwami wa Waha

Mgeni wetu rasmi Makamu Mwenyekiti Bara-CHADEMA Mhe. Said Amour Arfi akitambulishwa kwa wananchi wa Kigoma kijiji cha Mkongoro

Mgombea ubunge wetu wa Kigoma Kusini Muslim Hassanali akisalimia wananchi

Wagombea udiwani wetu kumi na moja wa Halmashauri mpya ya Kigoma Vijiji

Wananchi wa Kijiji cha Mkongoro

Wananchi wa kijiji cha Mkongoro walijitokeza kwa wingi

0 comments:

Post a Comment