Friday, November 12, 2010

Dr. Slaa, Mpendazoe Kunguruma Tabata-Liwiti

Aliyekuwa Mgombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Tiketi ya CHADEMA Dr. Wilbroad Peter Slaa pamoja na Mgombea Ubunge wa Segerea Fredy Mpendazoe watanguruma siku ya Jumapili katika viwanja vya shule ya Msingi Liwiti iliyoko Tabata.

0 comments:

Post a Comment