Saturday, November 13, 2010

mbunge wa jimbo la Hai Mh. Freeman Mbowe akila kiapo

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Hai Mh. Freeman Mbowe akila kiapo cha kuwa mbunge wa jimbo hilo mjini Dodoma.

0 comments:

Post a Comment