Friday, November 12, 2010

RAIS KIKWETE AMPONGEZA ANNA MAKINDA KUSHINDA USPIKA WA BUNGE

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512 begin_of_the_skype_highlighting 255-22-2114512 end_of_the_skype_highlighting, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za Pongezi Mheshimiwa Anne Makinda kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katika salaam zake, Rais amesema, Spika Makinda amechaguliwa kwa sababu ya uwezo wake, uzoefu na umakini wake.

“Ninakuahidi ushirikiano wangu katika shughuli zako za bunge na za kujenga nchi yetu kwa ujumla” Rais Amesema na kuongeza kuwa kuchaguliwa kwa Mama Makinda.

“Ni heshima kwa Chama Cha Mapinduzi, umejenga imani kubwa kwa wanawake na umewatia moyo na shauku ya kufanya kazi kwa ufanisi na ueledi katika jitihada zao za kushika nyadhifa mbalimbali za maamuzi.” Rais amesema na kumtakia kheri katika shughuli zake za kila siku.

Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,

Ikulu
Dar-es-salaam.

12 Novemba, 2010

0 comments:

Post a Comment